S.1 Kiswahili, Term 1
Jamii
What you will learn
S.1 · Kiswahili · Term 1
Jamii
Competency
Mwanafunzi aweze kutambua na kutumia msamiati unaohusiana na mahali muhimu katika jamii, dira pamoja na vipengele vya lugha vilivyoteuliwa katika mawasiliano yake ya kila siku.
| No. | The learner should | Type |
|---|---|---|
| 1 | Atambue msamiati wa mahali muhimu katika jamii | |
| 2 | Aeleze umuhimu wa sehemu hizo kwa jamii | |
| 3 | Ajadili shughuli zinazofanyika katika mahali muhimu | |
| 4 | Atambue sehemu za dira | |
| 5 | Aelezee sehemu muhimu katika jamii kwa kutumia dira | |
| 6 | Asome makala na kujibu maswali | |
| 7 | Atambue na kutumia vitenzi mbalimbali katika sentensi | |
| 8 | Atumie vipatanishi vya nomino za ngeli ya U–I vifaavyo katika sentensi. atumie alama za uakifishaji sahihi katika sentensi na vifungu vya maneno.katika sentensi | |
| 9 | Aandike insha ya mwongozo |
What do the labels mean?
Each learning outcome is tagged with what it builds: Knowledge (facts you can recall), Understanding (explaining why), Skills (things you can do), Values & attitudes, and Generic skills such as communication and critical thinking.
Ask the AI tutor
Stuck on Jamii? Get it explained, practise with exam-style questions, or have your answer marked. It follows the S.1 syllabus and our notes.
Scenario items with scoring guide Quiz me Open the full AI tutor →
Notes
Notes for this topic are being written. Meanwhile, check the downloads below or ask the community.
Downloads
No files for this topic yet. Share yours.
Questions about this topic
Ask a questionStuck on something? Ask, and learners and teachers will help.