S.3 Kiswahili, Term 1
Sherehe za kitaifa
What you will learn
S.3 · Kiswahili · Term 1
Sherehe za kitaifa
Competency
Mwanafunzi aweze kutambua na kutumia msamiati unaohusiana na sherehe mbalimbali za kitaifa pamoja na vipengele vya lugha vilivyoteuliwa katika mawasiliano.
| No. | The learner should | Type |
|---|---|---|
| 1 | Atambue sherehe mbalimbali za kitaifa | |
| 2 | Asimulie hadithi juu ya sherehe aliyowahi kuhudhuria | |
| 3 | Aeleze umuhimu wa sherehe za kitaifa | |
| 4 | Asome makala kuhusu uzalendo na kujibu maswili | |
| 5 | Atambue na kutumia viwakilishi vya idadi katika sentensi | |
| 6 | Atunge sentensi akitumia ‘ki’ya masharti halafu azikanushe | |
| 7 | Akariri shairi | |
| 8 | Afafanue istiara mbalimbali | |
| 9 | Atambue mbinu za kuandika insha ya wasifu | |
| 10 | Aandike insha ya ya wasifu |
What do the labels mean?
Each learning outcome is tagged with what it builds: Knowledge (facts you can recall), Understanding (explaining why), Skills (things you can do), Values & attitudes, and Generic skills such as communication and critical thinking.
Ask the AI tutor
Stuck on Sherehe za kitaifa? Get it explained, practise with exam-style questions, or have your answer marked. It follows the S.3 syllabus and our notes.
Scenario items with scoring guide Quiz me Open the full AI tutor →
Notes
Notes for this topic are being written. Meanwhile, check the downloads below or ask the community.
Downloads
No files for this topic yet. Share yours.
Questions about this topic
Ask a questionStuck on something? Ask, and learners and teachers will help.