S.3 Kiswahili, Term 2
Uongozi wa kitaifa
What you will learn
S.3 · Kiswahili · Term 2
Uongozi wa kitaifa
Competency
Mwanafunzi aweze kutambua na kutumia msamiati unaohusiana na uongozi wa kitaifa pamoja na vipengele vya lugha vilivyoteuliwa katika mawasiliano.
| No. | The learner should | Type |
|---|---|---|
| 1 | Atambue msamiati wa uongozi na ala za uongozi | |
| 2 | Afafanue nyadhifa za viongozi mbalimbali | |
| 3 | Atambue dhima za nembo za kitaifa | |
| 4 | Adhihirishe shughuli mbalimbali katika kampeni | |
| 5 | Asome makala kuhusu matokeo ya uchaguzi mkuu na kujibu maswali | |
| 6 | Atambue viwakilishi viashiria, vihisishi, nomino za ngeli ya I–Zi zinazohusiana na uongozi na azitumie katika sentensi | |
| 7 | Aeleze vinyume vya vitenzi na kuvitumia katika sentensi | |
| 8 | Ajadili jinsi uongozi unavyoendelezwa kulingano na hadithi fupi | |
| 9 | Achanganue hatua mwafaka za ufupishaji wa makala | |
| 10 | Afupishe makala kwa maneno aliyoagizwa |
What do the labels mean?
Each learning outcome is tagged with what it builds: Knowledge (facts you can recall), Understanding (explaining why), Skills (things you can do), Values & attitudes, and Generic skills such as communication and critical thinking.
Ask the AI tutor
Stuck on Uongozi wa kitaifa? Get it explained, practise with exam-style questions, or have your answer marked. It follows the S.3 syllabus and our notes.
Scenario items with scoring guide Quiz me Open the full AI tutor →
Notes
Notes for this topic are being written. Meanwhile, check the downloads below or ask the community.
Downloads
No files for this topic yet. Share yours.
Questions about this topic
Ask a questionStuck on something? Ask, and learners and teachers will help.