S.2 Kiswahili, Term 3
Biashara
What you will learn
S.2 · Kiswahili · Term 3
Biashara
Competency
Mwanafunzi aweze kutambua na kutumia msamiati unaohusiana na sehemu za mwili pamoja na vipengele vya lugha vilivyoteuliwa katika mawasiliano.
| No. | The learner should | Type |
|---|---|---|
| 1 | Atambue msamiati wa pesa na malipo mbalimbali | |
| 2 | Aeleze umuhimu wa pesa pamoja na madhara yake | |
| 3 | Asome makala, atambue na kueleza huduma za benki halafu ajibu maswali | |
| 4 | Atumie kishirikishi-ndi- na O- rejeshi katika sentensi | |
| 5 | Abaini vivumishi visisitizi vya ngeli mbalimbali pamoja na kuvitumia katika sentensi | |
| 6 | Afurahie vichekesho tofauti na kubuni vingine | |
| 7 | Aandike insha ya bajeti kuhusu mada aliyopewa | |
| 8 | Atambue sehemu za nje na za ndani za mwili wa binadamu | |
| 9 | Aeleze umuhimu wa sehemu za nje na ndani za mwili | |
| 10 | Achore kiunzi cha sehemu za nje na ndani ya mwili wa binadamu | |
| 11 | Abaini msamiati wa ulemavu | |
| 12 | Asome na kukariri shairi kuhusu sehemu za mwili | |
| 13 | Atambue nomino za ngeli ya Li– Ya, Ki–Vi na U–I zinazotaja sehemu za mwili na kuzitumia katika sentensi | |
| 14 | Ataje viwakilishi vya nafsi katika umoja na wingi halafu avitumie kutunga sentensi | |
| 15 | Abuni hadithi fupi | |
| 16 | Aandike insha ya mwongozo |
What do the labels mean?
Each learning outcome is tagged with what it builds: Knowledge (facts you can recall), Understanding (explaining why), Skills (things you can do), Values & attitudes, and Generic skills such as communication and critical thinking.
Ask the AI tutor
Stuck on Biashara? Get it explained, practise with exam-style questions, or have your answer marked. It follows the S.2 syllabus and our notes.
Scenario items with scoring guide Quiz me Open the full AI tutor →
Notes
Notes for this topic are being written. Meanwhile, check the downloads below or ask the community.
Downloads
No files for this topic yet. Share yours.
Questions about this topic
Ask a questionStuck on something? Ask, and learners and teachers will help.