S.2 Kiswahili, Term 1
Uongozi katika jamii
What you will learn
S.2 · Kiswahili · Term 1
Uongozi katika jamii
Competency
Mwanafunzi aweze kutambua na kutumia msamiati unaohusiana na uongozi, demokrasia pamoja na vipengele vya lugha vilivyoteuliwa katika mawasiliano yake ya kila siku.
| No. | The learner should | Type |
|---|---|---|
| 1 | Atambue msamiati wa viongozi | |
| 2 | Aeleze majukumu ya viongozi wa aina mbalimbali | |
| 3 | Aigize kupiga kampeni za uchaguzi | |
| 4 | Asome makala na kujibu maswali | |
| 5 | Atambue sifa za uongozi bora | |
| 6 | Abaini nomino za ngeli ya I-I, azitumie katika sentensi akizingatia upatanishi wa kisarufi | |
| 7 | Atunge sentensi akitumia wakati ujao halafu azikanushe | |
| 8 | Atege na kutegua vitendawili mbalimbali | |
| 9 | Atambue hatua mwafaka za kuandika insha ya mwongozo | |
| 10 | Aandike insha ya mwongozo |
What do the labels mean?
Each learning outcome is tagged with what it builds: Knowledge (facts you can recall), Understanding (explaining why), Skills (things you can do), Values & attitudes, and Generic skills such as communication and critical thinking.
Ask the AI tutor
Stuck on Uongozi katika jamii? Get it explained, practise with exam-style questions, or have your answer marked. It follows the S.2 syllabus and our notes.
Scenario items with scoring guide Quiz me Open the full AI tutor →
Notes
Notes for this topic are being written. Meanwhile, check the downloads below or ask the community.
Downloads
No files for this topic yet. Share yours.
Questions about this topic
Ask a questionStuck on something? Ask, and learners and teachers will help.