S.2 Kiswahili, Term 2
Usafiri
What you will learn
S.2 · Kiswahili · Term 2
Usafiri
Competency
Mwanafunzi aweze kutambua na kutumia msamiati unayohusiana na usafiri pamoja na vipengele vya lugha vilivyoteuliwa katika mawasiliano.
| No. | The learner should | Type |
|---|---|---|
| 1 | Atambue vyombo vya usafiri | |
| 2 | Abaini aina zausafiri. k | |
| 3 | Atambue msamiati wa usalama barabarani | |
| 4 | Aeleze maana ya taa za barabarani | |
| 5 | Asome makala kuhusu usafiri na kujibu maswali | |
| 6 | Atambue nomino za I-Zi zinazohusu usafiri halafu azitumie kutunga sentensi | |
| 7 | Atambue vivumishi viashiria na avitumie katika sentensi | |
| 8 | Atambue viunganishi na kuvitumia katika sentensi | |
| 9 | Akamilishe methali zinazohusiana na usafiri | |
| 10 | Aandike insha ya masimulizi. ku kw |
What do the labels mean?
Each learning outcome is tagged with what it builds: Knowledge (facts you can recall), Understanding (explaining why), Skills (things you can do), Values & attitudes, and Generic skills such as communication and critical thinking.
Ask the AI tutor
Stuck on Usafiri? Get it explained, practise with exam-style questions, or have your answer marked. It follows the S.2 syllabus and our notes.
Scenario items with scoring guide Quiz me Open the full AI tutor →
Notes
Notes for this topic are being written. Meanwhile, check the downloads below or ask the community.
Downloads
No files for this topic yet. Share yours.
Questions about this topic
Ask a questionStuck on something? Ask, and learners and teachers will help.