S.2 Kiswahili, Term 2
Salamu na adabu
What you will learn
S.2 · Kiswahili · Term 2
Salamu na adabu
Competency
Mwanafunzi aweze kutambua na kutumia msamiati zaidi unaohusiana na salamu na maneno ya adabu pamoja na vipengele vya lugha katika mawasiliano yake ya kila siku.
| No. | The learner should | Type |
|---|---|---|
| 1 | Atambue msamiati wa ziada wa salamu | |
| 2 | Aanzishe na kuitikia salamu kwa namna inayostahili | |
| 3 | Atambue na kuigiza maneno ya adabu ya ziada | |
| 4 | Asome na kuigiza mazungumzo halafu ajibu maswali | |
| 5 | Atambue nomino katika ngeli ya A- Wa na I-Zi halafu azitumie kutunga sentensi akizingatia upatanishi wa kisarufi | |
| 6 | Ataje viwakilishi vya nafsi vya umoja na wingi na avitumie katika sentensi | |
| 7 | Akariri na kuimba wimbo wa salamu na adabu | |
| 8 | Aeleze hatua mwafaka zinazopitiwa kuandika insha ya mwongozo | |
| 9 | Aandike insha ya mwongozo |
What do the labels mean?
Each learning outcome is tagged with what it builds: Knowledge (facts you can recall), Understanding (explaining why), Skills (things you can do), Values & attitudes, and Generic skills such as communication and critical thinking.
Ask the AI tutor
Stuck on Salamu na adabu? Get it explained, practise with exam-style questions, or have your answer marked. It follows the S.2 syllabus and our notes.
Scenario items with scoring guide Quiz me Open the full AI tutor →
Notes
Notes for this topic are being written. Meanwhile, check the downloads below or ask the community.
Downloads
No files for this topic yet. Share yours.
Questions about this topic
Ask a questionStuck on something? Ask, and learners and teachers will help.